ndimiAFRIKA
Followers
Total Pageviews
Learn a new language and get a new soul. ~Czech Proverb
Learn a new language and get a new soul. ~Czech Proverb
Tuesday, May 24, 2011
Friday, March 11, 2011
UKUBIZWA KOMUNTU KUNGUKUZWIWA NGUMUNTU
"KUTAJWA KWA-MTU NDIYO-KUSIKILIZWA NA-MTU"
Leo tufufunze (kabla hatujaenda mbali) namna ya kutaja watu kwa lugha ya Kizulu
Mimi, Sisi, Wewe, Ninyi, Yeye, Wao
KOTE WAZULU HAPO WANATUMIA "-na"
MI-na=MI-mi (SWAHILI)
WE-na=WE-we (SWAHILI)
NI-na=NI-nyi (SWAHILI)
YE-na=YE-ye (SWAHILI)
SI UNAONA HAPO JUU TOFAUTI YAKE NA KISWAHILI HAMNA KIMSINGI??
UGUMU UNAKWEPO TU KIDOGO KWA "Wao" na "Sisi"
Bona=WAo (SWAHILI)
Thina=SIsi (SWAHILI)
KWAHERI TENA KWA LEO! JISIKIE HURU KUULIZA MASWALI NA KUTOA MAONI YAKO
Tuesday, March 8, 2011
NINOGELA KUYANDIKA GAMAHELE
BADO NAWAKARIBISHA TUJUMUIKE PAMOJA ILI TUPATE MAENDELO YA BLOGU HII
(NA KILA WAKATI NA KARIBISHA USAHIHISHO WA KISWAHILI CHANGU)
(NA KILA WAKATI NA KARIBISHA USAHIHISHO WA KISWAHILI CHANGU)
Ukitaka kuona zaidi jinsi lugha yaKizulu inavyotumika bonyeza hapa ukimaliza bonyeza pengine hapa kwa ziada.
*MAONI YA MAMA WA KINGONI HAPO JUZI*
“Hapa pabwina sana! Mkitili chabwina sana kuwanzisha blog hiyi! Ninogela kuyandika gamahele! Yatiniyandika ligono lingi.” *(NGONI LANGUAGE)*
*ZULU LANGUAGE*Lapha kuhle impela! Nenze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! Ngifisa ukubhala/ukuloba amade/okuningi. Ngizobhala ilanga elizayo
*ENGLISH LANGUAGE*Here it-is-good verily. You-‘ve-done well verily in-starting this blog. I’m-tempted to-write some-more (right now). Allow-me-to-write-it another day.
*SWAHILI LANGUAGE*Hapa pazuri sana. Mmefanya vizuri sana kuanzisha blog hii. Natamani kuandika mengi Nitaandika siku nyingine.
*WORD-FOR-WORD TRANSLATION*
Hapa pabwina sana Hapa pazuri sana Lapha kuhle impela! Mkitili Mmefanya Nenze chabwina vizuri kahle sana kuwanzisha blog hiyi sana kuanzisha blog hii impela ukuqalisa i-blog lena! Ninogela kuyandika gamahele Natamani kuandika mengi Ngifisa ukubhala/ukuloba amade/okuningi! Yatiniyandika ligono lingi nitaandika siku nyingine Ngizobhala ilanga elizayo.
*A WORD ABOUT 1ST,2ND, 3RD PERSONS ETC.*
(KAMA UNAMWABIA MTU KUHUSU YEYE MWENYE)Lapha kuhle impela! wenze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! (“w” kutoka kwa “Wewe”??? [LOL!!!])”
(KAMA UNAMWABIA MTU KUHUSU YEYE MWENYE NA WENZAKE)Lapha kuhle impela! nenze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! (“n” kutoka kwa “Ninyi”??? [LOL!!!])”
(KAMA UNAMWAMBIA MTU KUHUSU MWINGINE)Lapha kuhle impela! wenze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! (“w”????hapo umeipata freshi Rafiki yangu kwani hamna uhusiano wowote na “Yeye” [LOL!!!])”
(KAMA UNAMWAMBIA MTU KUHUSU WENGINE)Lapha kuhle impela! benze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! (“b”????hapo umeipata freshi Rafiki yangu kwani hamna uhusiano wowote na “Wao” [LOL!!!])”
(KAMA UNAMWAMBIA MTU KUHUSU WEWE MWENYEWE)Lapha kuhle impela! ngenze kahle impela ukuqalisa i-blog lena! (popote pale Kiswahili kinapotumia “na..”, Kizulu kinatumia “ngiya...” NAlia NGIYAlila, NAkula NGIYAdla, NAfika NGIYAfika, NAkufa NGIYAfa, NAzaliwa, NGIYAzalwa, NAsambaza NGIYAsaphaza, NAkonda NGIYonda (kutoka NGIYA+Onda), NAkua (growing up) NGIYAkhula, NAkunya NGIYAnya, NAiba, NGIYeba (kutoka NGIYA+iba...Kiswahili kiNAweza kikawa NA “VOWELS” kufuataNA lakini Kizulu kamwe!!!) NAona NGIYAbona, NAfumbata NGIYAfumbatha, NAanika NGIYeneka, NAbobokwa [na maneno] NGIYAbhoboka))
(KAMA UNAMWAMBIA MTU KUHUSU WEWE NA WENZAKO)Lapha kuhle impela! senze kahle impela ukuqalisa i-blog lena!(tuseme “s” inatoka kwa “Sisi”)
Sunday, March 6, 2011
BARUA ZA HEWANI ZALETA BLOGU MPYA
Blogu NdimiAfrika tunapiga hodi, Jamaani!
Nilifikiri jina “NdimiAfrika” linafaa kutokana na Kiswahili changu kidogo “ndimi” maana yake ni “TOUNGUES/ LANGUAGES”.
Awali niseme kwamba wazo la blogu hii siyo langu.
Kusema ukweli blogu NdimiAfrika hii itakata roho punde ikiwa wasomaji hawana maoni ya kuchangia wala wanablogu wengine wenye msingi wa lugha ya Kiswahili hawaiungi mkono.(Kwamsemo wa wenzetu itakuwa moja tu ya takwimu za watoto waliyozaliwa tayari kufa (STILLBORN).
Mimi, labda kwa ule utundu wangu, nimethubutu kuanzisha leo kama ishara ya kutoa heshima kwa wale wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili waliyoanzisha wazo ili.
MIMI NA WAO TUNAYO NDOTO KWAMBA KWA KUSHIRIKIANA TUKIWA WAAFRIKA HAPA MTANDAONI TENA CHINI YA NDIMIAFRIKA, TUNAWEZA TUKAMLAZIMISHA KILA MWANDISHI WA KAMUSI YA LUGHA YA KIAFRIKA APITIE BLOGU HII ILA KUKAMILISHA SHUGHULI YAKE YA MAANDISHI YA HIYO KAMUSI IKIWA YA KIZULU, KINDENGELEKO, KIBEMBA, AU LUGHA YOYOTE ILE INAOZUNGUMZWA BARANI KWETU AFRIKA.
Tutakuwa wahariri wengi tu, na kadiri teknolojia inavyoturuhusu, tutaihamisha blogu hii (NdimiAfrika) itoke mikononi mwangu ili iwe yetu sote Wahariri wenzangu; lakini mpaka leo hatujui hao wahariri watakuwa akina nani ki ujumla, lakini tunawakaribisheni wote tu!
Leo nimeona niwapeni mawasiliano yangu na baadhi ya WanaAfrika waliyojishughulisha hadi leo na wazo hili
MANYANYA ANAMWANDIKIA JOHN MWAIPOPO:
John
Tuliwasiliana na Baraka Kambi kama ifuatavyo:
Manyanya Phiri to Baraka
Kwako Baraka
Lugha gani unaweza kuongea katika kibaraza hicho, Ndugu yangu Baraka? Mimi binafsi ningeingiza Kizulu labda na Afrikaans ambazo ni lugha mbili kubwa za asili Afrika Kusini. Ndugu yetu Mwaipopo labda Kinyakyusa.
Tutaanza kwa maneno ya kawaida tu kama KISWAHILI=KIZULU=AFRIKAANS=KINDENGELEKO=?, "WINGU"="IFU"="VOLK"=""=""
"KIDOLE"="UMNWE"="FENGER"=""="" ,.... na maneno kama hayo.
God bless!
Sawa! Kisukuma/kinyamwezi and obviously, kiswahili!
Baraka
KWAKO TENA, JOHN
KINGINE, ITAKUWA TAMU SANA BLOGU YETU TUKIKARIBISHA TENA NA WANAHISTORIA watakaotupatia historia ya watu hao (au makabila) ambao lugha yao tunaijadili, mfano Kizulu. Na kama hatupati hao wa taalam hata mhariri yoyote wa lugha hiyo katika blogu yetu (NdimiAfrika) anaweza akatupatia kidogo huo ufafanuzi zaidi (HISTORICAL AND ETHNOLOGICAL BACKGROUND) kuhusu jamii hiyo. Kujuwa lugha bila kwelewa historia na utamaduni wa watu hao ni sawa na kuvaa tai huku ukiwa umevaa shati ya mikono mfupi: hujakamilika!
Mimi nimeshaanza kwandika kidogo. Natumaini kabla ya mwisho wa mwezi huu (MARCH) blogu NdimiAfrika itakuwa mtandaoni, au vipi?
2011/3/6 John mwaipopo <johnmwaipopo@yahoo.com>:
Awali nikuombe radhi kwa kuchelewa kukujibu e-mail yako.
Pili nikupongeze kuwa kuwa msomaji mzuri wa blogu za Watanzania.
Unatutia moyo sana. Kwa niaba yao nakushukuru.
Kuhusu suala la kuanzisha blogu ya lugha nakubaliana na wewe kuwa wewe na mimi tuanzishe na wengine watafuata na kutukuta huko.
Nadhani pia tumshirikishe Profesa matondo wa blogu ya Matondo. Yeye ni linguist [MTAALAM WA LUGHA MBALIMBALI&Phiri’s translation] aliyebobea. Aatatusaidia masuala ya ufundi wa lugha na jinsi ya kufafanua jambo.
Off [the]point: Wakati huu nasikiliza wimbo “NGIXOLELE” wa Senzo [Mthethwa na taamka ‘mtetwa’]. Huwa naupenda sana wimbo huu tokea ulipotoka misaka ile ya katikati ya 1990 (nadhani ni 1996-7). Nakuomba unifafanulie wimbo una ujumbe gani. Ikiwezekana niandikie lyrics nianze kujifunza kizulu kwa kuongea. halafu kuna taarifa zinazochanganya watu kuwa Senzo bado yu hai ama alishakufa.
Jumapili njema
John Mwaipopo
Mbeya Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)